Fr. 17.40

KITABU CHA MAFUNDISHO - Enzi ya Utakaso, enzi kubwa baada ya nyakati: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu

swahili · Livre de poche

Expédition généralement dans un délai de 2 à 3 semaines (titre imprimé sur commande)

Description

En savoir plus










Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza "maisha yake ya kiroho", akitaka. Ndiyo maana Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu huu, anotoa kitabuni humu maelekezo kwa ajili ya kuingia katika Enzi Mpya, kwa kumsaidia kila mmoja kuitolea maisha yake mwelekeo mpya.
Anatuonyesha njia inayotufikisha kwenye uhuru wa kiroho, kwenye Amani, pia kwenye mawasiliano halisi na majirani,wanyama na mazingira.
Kwa hiyo tunaishi tukiwa na dhamiri kwamba Mungu, Roho huru, yupo karibu sana na kila mmoja wetu: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu.
Madondoo :
"Kila mmoja wetu anajenga mwenyewe, siku baada ya siku, utu wake. Hayo yana maana kwamba kila siku, kupitia mwenendo wetu, tunajenga mwili wetu kwa kuuongezea nguvu, au kwa kuupunguzia kiwango cha nguvu, na hayo tu kutokana na namna yetu ya kuishi inayojionyesha katika mienendo yetu."

Détails du produit

Auteurs Gabriele
Edition Gabriele Publishing House
 
Langues swahili
Format d'édition Livre de poche
Sortie 20.03.2023
 
EAN 9783964464033
ISBN 978-3-96446-403-3
Pages 86
Dimensions 127 mm x 178 mm x 5 mm
Poids 90 g
Catégorie Livres de conseils > Santé > Relaxation, yoga, méditation, training autogène

Commentaires des clients

Aucune analyse n'a été rédigée sur cet article pour le moment. Sois le premier à donner ton avis et aide les autres utilisateurs à prendre leur décision d'achat.

Écris un commentaire

Super ou nul ? Donne ton propre avis.

Pour les messages à CeDe.ch, veuillez utiliser le formulaire de contact.

Il faut impérativement remplir les champs de saisie marqués d'une *.

En soumettant ce formulaire, tu acceptes notre déclaration de protection des données.