Fr. 23.40

Tufani Inapovuma - Uwe na Amani

swahili · Livre de poche

Expédition généralement dans un délai de 2 à 3 semaines (titre imprimé sur commande)

Description

En savoir plus










Tufani ni kitu cha kawaida katika bahari, hivyo mtu anayekusudia kuwa nahodha wa chombo chochote cha majini, ni lazima ajifunze kutambua dalili za ujio wake na namna ya kupambana nayo. Mtu wa Mungu pia kama alivyo nahodha, unapaswa kuwa tayari kupambana na tufani za maisha zinazovuma kila siku. Utayari huo unaopatikana katika Yesu Kristo ndiyo pekee unaoweza kukupa furaha ya kweli, na kukujaza amani ya rohoni kila tufani inapovuma.

A propos de l'auteur










Pastor Godwin Chilewa amehitimu shahada ya saikolojia (Bsc Psychology) katika chuo kikuu cha Houston mjini kati (University of Houston Downtown), na shahada ya uzamili (MBA in Project Management) katika chuo kikuu cha DeVry - Houston. Alisimikwa kuwa mchungaji tarehe 14 Mei 2016 katika ibada iliyofanyika kwenye kanisa la Holly Covenant - United Methodist Church, Katy Texas.
Kabla ya kuitwa kumtumikia Mungu Pastor Godwin alikuwa afisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa. Kazi aliyoifanya kwa miaka ishirini. Kitabu chake kipya kiitwacho Shuhuda za Jasusi kitatoka hivi karibuni. Unaweza kumpata kupitia tovuti yake www.veritasgospel.org
¿

Détails du produit

Auteurs Godwin Chilewa
Edition Godwin Chilewa
 
Langues swahili
Format d'édition Livre de poche
Sortie 13.01.2019
 
EAN 9780578485584
ISBN 978-0-578-48558-4
Pages 210
Dimensions 140 mm x 216 mm x 12 mm
Poids 271 g
Catégories Littérature spécialisée > Psychologie, ésotérique, spiritualité, anthroposophie > Esotérique: général, ouvrages de référence
Livres de conseils > Spiritualité > Esotérique

Commentaires des clients

Aucune analyse n'a été rédigée sur cet article pour le moment. Sois le premier à donner ton avis et aide les autres utilisateurs à prendre leur décision d'achat.

Écris un commentaire

Super ou nul ? Donne ton propre avis.

Pour les messages à CeDe.ch, veuillez utiliser le formulaire de contact.

Il faut impérativement remplir les champs de saisie marqués d'une *.

En soumettant ce formulaire, tu acceptes notre déclaration de protection des données.