Esaurito

'Jina Lako Ni Mpatanishi' Maisha Na Kazi Ya Isaya Orishi Olentokoti

Swahili · Tascabile

Descrizione

Ulteriori informazioni










Mafanikio ya Isaya ni makubwa. Kutokana na mahubiri yake na ushauri wa kiroho maelfu ya watu wametafuta na kupata ubatizo katika Kanisa la Kiinjili la Tanzania. Pia wamekubali mabadiliko mengi katika hali ya maisha yao. Kitabu hiki kimeandikwa ili sisi na kizazi kijacho tuwe na kumbukumbu ya haya yaliyochangia kwa sehemu kubwa kuwafanya Wamasai kuuongokea Ukristo. Lengo lingine ni kuwasaidia wachungaji,
wainjilisti na mkristo yeyote yule kuona nuru katika giza la maswali mazito. Katika mafundisho yake, Isaya hugusa maswali yanayohusu dini, mila na desturi za Wamasai. Je, mafundisho yake Isaya ni halali? Au anachanganya mambo yasiokwen- da pamoja?

Kwanza tunasikia jinsi alivyoitwa na Mungu juu ya mlima pale Kenya. Halafu tunasoma moja ya mahubiri ya Isaya. Na baadaye tunamfuata
katika njia yake ndefu ya kupata ubatizo. Halafu tutaangalia huduma yake: Mhubiri Isaya na ujumbe wake, mpatanishi na mbinu zake, marafiki zake Joshua na Isaaka. Tutaangalia kazi yake katika Tanzania na tutasikiliza wenye hoja zao Kenya wasemavyo. Pia tutajaribu kujibu maswali: Je, Isaya Ole Ntokoti ni Oloiboni bado? Au ni mtu mwenye wito maalum wa Mungu kama nabii?


Dettagli sul prodotto

Autori Stefan Scheuerl
Editore Erlanger Vlg F.Mission
 
Lingue Swahili
Formato Tascabile
Pubblicazione 30.06.2015
 
Pagine 236
Dimensioni 149 mm x 208 mm x 20 mm
Peso 343 g
Categoria Scienze umane, arte, musica > Religione / teologia > Cristianesimo

Recensioni dei clienti

Per questo articolo non c'è ancora nessuna recensione. Scrivi la prima recensione e aiuta gli altri utenti a scegliere.

Scrivi una recensione

Top o flop? Scrivi la tua recensione.

Per i messaggi a CeDe.ch si prega di utilizzare il modulo di contatto.

I campi contrassegnati da * sono obbligatori.

Inviando questo modulo si accetta la nostra dichiarazione protezione dati.