Fr. 16.50

Kesheni Na Kuomba: Keep Watching and Praying (Swahili Edition)

Swahili · Paperback / Softback

Shipping usually within 3 to 5 weeks (title will be specially ordered)

Description

Read more










Tunapata Wakristo wengi wanatambua umuhimu wa maombi, lakini wengi wao hushindwa kupokea majibu ya Mungu kwa sababu hawajui namna ya kuomba kulingana na mapenzi ya Mungu. Nimevunjika moyo kuona na kusikia watu kama hao kwa muda mrefu, lakini ninafurahi sana kuchapisha kitabu kuhusu maombi chenye msingi wa zaidi ya miaka 20 ya kazi na kushuhudia moja kwa moja.

Ninatumaini kwamba hiki kitabu kidogo kitakuwa cha msaada mkubwa kwa kila msomaji katika mkutano na kumwona Mungu, na kuishi maisha ya maombi yenye uwezo. Naomba kila msomaji awe macho na aombe bila kukoma ili aweze kufurahia afya njema na kila kitu kimwendee vizuri kama roho yake inavyoendelea vizuri. Katika jina la Bwana wetu ninaomba! 


Product details

Authors Jaerock Lee
Publisher Urim Books USA
 
Languages Swahili
Product format Paperback / Softback
Released 24.03.2023
 
EAN 9791126310845
ISBN 979-11-263-1084-5
No. of pages 134
Dimensions 140 mm x 210 mm x 9 mm
Weight 159 g
Subject Non-fiction book > Philosophy, religion > Religion: general, reference works

Customer reviews

No reviews have been written for this item yet. Write the first review and be helpful to other users when they decide on a purchase.

Write a review

Thumbs up or thumbs down? Write your own review.

For messages to CeDe.ch please use the contact form.

The input fields marked * are obligatory

By submitting this form you agree to our data privacy statement.