Fr. 42.60

Mualkemia

Swahili · Paperback / Softback

Shipping usually within 2 to 3 weeks (title will be printed to order)

Description

Read more










Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi.
Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi.
Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasäri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baadaye kwenye jangwa nchini Misri. Mualkemia anamsubiri kwenye jangwa hili. Je, ataizimua ndoto yake?
'Vitabu vyake vimekuwa na athari ya kuimarisha maisha kwa mamilioni ya watu' Gazeti la The Times

'Mualkemia' is a Kiswahili Translation of 'The alchemist'; Paulo Coelho's masterpiece which tells the mystical story of Santiago, an Andalusian shepherd boy who yearns to travel in search of a worldly treasure. His quest will lead him to riches far different-and far more satisfying-than he ever imagined. Santiago's journey teaches us about the essential wisdom of listening to our hearts, recognizing opportunity and learning to read the omens strewn along life's path, and, most importantly, following our dreams.

Product details

Authors Paulo Coelho
Publisher Moran Publishers
 
Languages Swahili
Product format Paperback / Softback
Released 24.06.2023
 
EAN 9789966634436
ISBN 978-9966-63-443-6
No. of pages 196
Dimensions 129 mm x 198 mm x 11 mm
Weight 215 g
Subject Fiction > Science fiction, fantasy

Customer reviews

No reviews have been written for this item yet. Write the first review and be helpful to other users when they decide on a purchase.

Write a review

Thumbs up or thumbs down? Write your own review.

For messages to CeDe.ch please use the contact form.

The input fields marked * are obligatory

By submitting this form you agree to our data privacy statement.