Fr. 49.10

Viangamizi Vya Mtanduko

Swahili · Tascabile

Spedizione di solito entro 2 a 3 settimane (il titolo viene stampato sull'ordine)

Descrizione

Ulteriori informazioni










Hiki ni kijitabu cha kusaidia kuokoa Maisha kilicho na njia rahisi ambazo kila mtu anafaa kujua ili kuboresha kinga yake. Watu wengi wamefariki au hata kuugua kwa muda mrefu kwa kukosa ujumbe huu.

Kwa kuanza na njia muhimu zaidi , kitabu hiki kitaorodhesha njia zote ,moja baada ya nyingine, ambazo ni rahisi kuzifuata nyumbani . Nyingi ya njia hizi za kuimarisha kinga zilisaidia wanajamii ili kuhakikisha kuwepo kwa asilimia moja pekee ya vifo wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa "Spanish flu", mwaka wa 1918.

Rekodi hii ni ya kipekee haswa ikizingatiwa kuwa nyingi ya hospitali kubwa zilishuhudia asilimia 30-40 ya vifo wakati wa mkasa huo.
Kitabu hiki hakiangazii kupata chanjo, kuvaa barakoa , kujitenga kutoka kwa wanajamii wengine au kutokaribiana katika shughuli za umma . kinaangazia kuhusu mikakati muhimu ambayo iwapo zitatekelezwa, zitachangia pakubwa katika kuimarisha kinga yetu kibinafsi. Tukizingatia kuwa hakuna hakikisho thabithi katika maisha , ni wajibu wa kila mmoja wetu kufanya yote tuwezayo ili kuimarisha kinga zetu. Kwa njia hiyo , tutakua tumejiandaa vilivyo kuzuia virusi na viini vinavyosababisha magonjwa.

Dettagli sul prodotto

Autori Cari Haus, Eddie Ramirez
Editore HealthWhys Lifestyle Medicine
 
Lingue Swahili
Formato Tascabile
Pubblicazione 18.09.2022
 
EAN 9781955866132
ISBN 978-1-955866-13-2
Pagine 98
Dimensioni 216 mm x 280 mm x 7 mm
Peso 389 g
Categoria Guide e manuali > Salute

Recensioni dei clienti

Per questo articolo non c'è ancora nessuna recensione. Scrivi la prima recensione e aiuta gli altri utenti a scegliere.

Scrivi una recensione

Top o flop? Scrivi la tua recensione.

Per i messaggi a CeDe.ch si prega di utilizzare il modulo di contatto.

I campi contrassegnati da * sono obbligatori.

Inviando questo modulo si accetta la nostra dichiarazione protezione dati.